Tuesday, April 13, 2010

Mtoto wa Rais wa kwanza wa Ghana, Hayati Kwame Nkrumah, Samia akifurahia jambo wakati wanazuoni walipokuwa wakichangia mada kwenye kongamano la pili la wanazuoni linalojadili Azimio la Arusha lililoanza Jumatatu, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kongamano hilo limeandaliwa na Kigoda cha Taaluma cha Mwalimu Nyerere ambalo litafanyika kwa siku nne.

1 comment: