Wednesday, May 6, 2009

sophia simba,mama ya mafisadi papa nchini.

Yu wapi mwanamama Mh. Sophia Simba na kundi lake la TOT kumkemea Rostam Aziz aliyeonyesha kumkemea Mengi.
Je, yeye na kundi lake wanabariki majibu ya Mengi au fedha za kumwingiza madarakani?Ameongea mfadhili na mtafuta fedha za kampeni za CCM wote wanapiga makofi. Je,Rostam Aziz hajamwita Mengi fisadi? kwanini Mh. mama ya fisadi asitoe kauli?

1 comment:

 1. ACHA KUJIPENDEKEZA KWA MENGI FISADI MKUBWA YEYE NA WAHINDI WOTE SAWA TU!!UKIANZA NAWEWE KUJIFANYA KIBARAKA WA MENGI TUTAKUA HATUSOMI PUMBA ZAKO HIZI.
  MENGI ANATUMIA KIMVULI CHA UZALENDO NA WATANZANIA WA HALI YA CHINI KUJINUFAISHA BINAFSI.
  HANA TOFAUTI NA HAO WAHINDI WOTE WEZI TU.
  HIVI UNADHANI UKIMTETEA MENGI WEWE UTANUFAIKA NINI?
  UKIFANYA PUMBA ZAKO WATAKAOKUJA KULIPA UTUMBO WAKO SIO WATOTO WA MENGI ILA WATOTO WAKO KABWELA

  ReplyDelete