Monday, May 11, 2009

Taifa Stars hoi,yanyukwa 2-0 na DRC!

HUYU NDIYE MUUAJI WA STARS;

mshambuliaji hatari wa kongo alain kaluyituka dioko ambaye kaiua taifa stars leo kwa kufunga mabao yote mawili. kijana huyu mwenye umri wa miaka 25 anaichezea T.P Mazembe ya Kinshasa

NA HIKI NDICHO KIKOSI CHA DRC.
HIKI NDICHO KIKOSI CHA TAIFA STARS.
1 comment:

  1. nimesikitishwa sana kuona jinsi kocha maximo alivokuwa anazomewa kwenye uwanja wa taifa pale taifa stars ilipokuwa inacheza na DRC na mwishowe stars kuambulia kipigo cha 2-0,sio busara na isitoshe ni kazi ngumu sana kwa nchi kama Tanzania kupata wachezaji wazuri wenye kiwango kama nchi zingine,DRC ni nchi ambayo ipo juu sana kimpira ukilinganisha na nchi yetu kwa hiyo nilitegemea na hilo lilidhihirika wazi toka kwenye mashindano ya CHAN kwamba wana uwezo mkubwa sana,huwezi ukalinganisha na nchi yetu;tatizo la nchi hii hatuna wachezaji,here i mean wachezaji wenye viwango au ambao angalau unaweza ukaka nao ukawa train,hatuna. kwa hiyo watanzania inabidi waelewe kuwa we have a long way to go!

    ReplyDelete