Friday, July 10, 2009

Shida ya maji katika baadhi ya maeneo ya jiji dar.

Watoto waishio eneo la Mwananyamala jijini Dar es Salaam wakichota maji kwenye dimbwi kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya nyumbani kama walivyokutwa na mwandishi wetu jana. hata hivyo maji hayo ni hatari kwa usalama wa afya zao kutokana kutiririka ardhini.

1 comment:

  1. Pole sana watoto kwani hayo maji inaonekana safi lakini si salama. Na maji ni kitu muhimu sana katika maisha ya binadamu.Asante kwa hii picha

    ReplyDelete