Monday, August 24, 2009


Baadhi ya wanafunzi wa kike wa shule ya sekondari ya Idodi mkoani Iringa,wakiwa wamelazwa katika hospitali ya mko huo,kutokana na majeraha ya moto ulionguza bweni lao,12 wamepoteza maisha hali 23 wamejurihiwa.

No comments:

Post a Comment