Saturday, August 22, 2009


Mwalimu mkuu msaidizi wa shule ya msingi Kunzugu iliyopo tarafa ya Serengeti, wilayani Bunda , Seus Mogasa akiwafundisha wanafunzi wa darasa la sita wakiwa wamekaa chini.
Zaidi ya wanafunzi 400 wa shule hiyo hawana madawati.

No comments:

Post a Comment