Friday, September 25, 2009

Abdul Ally na Mkewe Madina Majaliwa wakazi wa Ilala Mchikichini jijini Dar es Salaam,wakionesha uharibifu ulisababishwa na nyaya za umeme zenye nguvu kubwa zilizopita juu ya Nyumba yao tangu mwaka 1998 na hivyo kuwaathiri licha ya Mahakama kutoa amri kwa Tanesco kulipa fidia na kuhama.


Wakazi wa jiji wakiangalia ajali ya iliyohusisha magari matatu katika makutano ya barabara ya Mandela na sokota chang'ombe jijini Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment