Monday, September 28, 2009

Wanafunzi wa Shule ya msingi Ihanga wilayani Mufindi, mkoa wa Iringa wakiwa wamebeka kuni kupelekea kwa mteja aliyenunua kuni hizo kutoka katika Shule yao kama walivyokutwa na mwandishi wetu, Waalimu hutumia muda wa masomo kufanya biashara hiyo.

1 comment:

  1. E bwana kuwa ticha ni bonge la dili. Narudi nyuma kusoma grade A kama vipi mzee wa maturbines!

    Kanal mbise.

    ReplyDelete