Wednesday, September 30, 2009

Msichana wa kimasai Namali Olkoskos akiwa anamlisha ng'ombe wa famia yao majani ya miti ili kumnusuru kufa kwa njaa inayosababisha na kukosa malisho na maji katika kata yao ya Soitsambu

No comments:

Post a Comment