Friday, October 2, 2009

Bibi akiwa amebeba chupa tupu za maji kwa ajili ya kuziuza ili ajikimu na maisha yake .
Jana ilikuwa siku ya wazee duniani ambayo ni maalumu kwa ajili ya kumbukumbu na kuwajali wazee, lakini wazee wengi bado wanaishi maisha ya taabu na yasiyo na matumaini kutokana na kutokuwepo na mipango ya kuwahudumia wanapofika umri mkubwa.

No comments:

Post a Comment