Friday, October 2, 2009

Uhaba wa maji katika jiji la Dar es Salaam umesababisha wananchi kuhangaika usiku na mchana kutafuta bidhaa hiyo adimu kama wananchi wa Manzese Tip Top walivyopanga ndoo ili kusubiri zamu za kuchota maji.

No comments:

Post a Comment