Friday, October 2, 2009

Meneja masoko na mawasiliano wa Kenyan Commercial Bank (KCB),Christina Manyenye akizungumza na washiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2009 wakati wa semina na warombo hao kuhusu masuala ya ujasiriamali na kambini kwao Hoteli ya Giraffe,Dar es Salaam.
Mashindano ambayo yanategemea kufikia kilele chake leo(Ijumaa 02/10/09)

No comments:

Post a Comment