Tuesday, September 15, 2009

Wanawake wakazi wa Pemba Asha Ali na Nihifadhi Khamis, wakilia katika kituo cha Kiuyu Minungwini baada ya kushindwa kuandikishwa katika Daftari la kudumu la wapiga kura jana. Mamia ya wakazi wamekwama kupatiwa kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi

No comments:

Post a Comment