Tuesday, October 20, 2009

Baadhi ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza kutoka vyuo mbalimbali vya elimu ya juu nchini wakiwa katika ofisi za Bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu ili kuonana na mkurugenzi Mkuu wa Bodi hiyo baada ya kutokuona majina yao.

No comments:

Post a Comment