Tuesday, October 20, 2009
Mmoja wa majirani akiangalia mabaki ya nyumba iliyoungua moto eneo la Mbezi Beach jijini Dar es Salaam jana, ambapo vitu vya ndani viliteketea kwa moto huo.

No comments:

Post a Comment