Wednesday, October 21, 2009

Vijana wawili wakiwa wanauchapa usingizi jana asubuhi, pembeni mwa ufukwe wa Bahari ya Hindi eneo la Feri jijini Dar es Salaam, hata hivyo haikufahamika mara moja kulala kwao kulitokana na uchovu ama kukosekana kwa kazi za kufanya .


Wanafunzi wa shule ya msingi Mtakuja ya jijini Dar es Salaam wakiwa wamekalia sehemu ya madawati 35 yaliyotolewa na Umoja wa Mataifa (UN) ikiwa ni maadhimisho ya miaka 64 kutoka kuanzishwa kwa Umoja huo.Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment