Thursday, October 22, 2009

Tingatinga likitengeneza barabara ya Mabibo Loyola jijini Dar es Saalam jana, ambayo inayoandaliwa kuwekwa Lami.
Haya ndio mambo ambayo huwa yanajiri pindi kipindi cha uchaguzi kinapokaribia.
Nina imani kuwa ni sehemu nyingi sana za nchi ambazo zinafanyiwa ukarabati wa aina hii kwa sasa tunapokuwa tunaelekea uchaguzi mkuu kwa ajili ya kuombea kura kwa wananchi.

2 comments:

  1. Hapo ndio utajiuliza pesa hutoka wapi kipindi hiki cha uchaguzi!:-(

    ReplyDelete
  2. pesa zinakuwa zinawekwa,kipindi cha uchaguzi ndio wanaanza kujifanya wanakarabati barabara.
    walikuwa wapi toka siku zote????

    ReplyDelete