Monday, October 5, 2009

Watoto wenye umri wa kwenda shule wa Igawilo Mkoani Mbeya wakigonga mawe kwa ajili ya kupata kokoto za kuuza ambapo debe moja la kokoto huuzwa kwa kiasi cha shilingi 1000.

No comments:

Post a Comment