Sunday, November 8, 2009

Askari wa kikosi cha zima moto akipokea pesa kiasi cha Tsh,30,000 toka kwa kondakta wa daladala kwa ajiri ya malipo ya stika ya ukaguzi ya kifaa cha kuzima moto.Kikosi hicho kinafanya ukaguzi kwa magari yote nchini kuhakikisha kuwa kila gari linakuwa na kifaa hicho cha kuzimia moto.

No comments:

Post a Comment