Saturday, November 7, 2009

Mwanafunzi wa darasa la tano shule ya msingi Luandanzovwe mjini Mbeya Ayubu Festo, akijifunza ufundi wa baiskeli katika karakana ya baba yake iliyopo Soweto mjini Mbeya jumapili iliyopita.
Ayubu anapenda kuwa mhandisi na kutumia muda wa mapumziko mchana kujifunza kazi za ufundi kabla ya kuendelea na kujisomea nyakati za usiku.

No comments:

Post a Comment