Tuesday, November 3, 2009

"Janga la kitaifa hili..."
Wakazi wa kijiji cha Doma katika wilaya ya Mvomero mkoa wa Morogoro wakiwa wanasomba maji kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Kumekuwa na shida ya maji katika kijiji hicho na kulazimu wananchi wake kutembea umbali mrefu kufuata huduma hiyo

No comments:

Post a Comment