Monday, November 2, 2009

Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi (kushoto) na Danny Mrwanda (kulia) kwenye picha mbili tofauti walionyesha ishara kidole cha kati kuwatukana mashabiki wa Yanga baada ya timu yao kupata bao lilofungwa na Mussa Hassan Mgosi juzi kwenye Uwanja wa Taifa juzi.

Wachezaji wa timu ya Young African sports club wakikuna vichwa baada ya kufungwa na simba sports club.No comments:

Post a Comment