Monday, November 2, 2009

Mkazi wa jiji akipita karibu na mtambo wa kuzalisha umeme wa IPTL uliopo Tegeta Dar es Salaam,ambao ulitegemewa kuanza kuzalisha umeme jana, hata hivyo hadi tunakwenda mitamboni,mtambo huo ulikuwa bado haujaanza kufanya kazi.

No comments:

Post a Comment