Friday, April 9, 2010

Mwenyekiti wa CCJ, Richard Kiyabo (kushoto), akizungumza na mwanachama mpya, Fred Mpendazoe,baada ya kuruhusiwa juzi kutoka katika hospitali ya Dk Summer,alipokuwa amelazwao baada ya kukabwa na kuporwa mkoba wake na watu wasiojulikana hivi karibuni. Katikati ni mke wa mwenyekiti huyo, Yunia Kiyabo.

No comments:

Post a Comment