Friday, April 9, 2010

Van Persie kurejea arsenal mapema wiki ijayo


Daktari mkuuu wa klabu ya Arsenal Colin Lewin, ametoa taarifa za maendeleo ya mshambuliaji wa klabu hiyo Robin van Persie aliyekuwa anauguza jeraha la kifundo cha mguu kwa muda wa miezi mitano iliyopita.
Colin Lewin amesema mashambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 26, anaendelea vizuri na hivi karibuni anatarajia kuanza mazoezi sambamba na wachezaji wenzake baada ya kufanya mazoezi mepesi kwa kipindi kilichopita.

No comments:

Post a Comment